Sunday, April 15, 2012

KILI MUSIC AWARDS 2012 NDANI YA MLIMANI CITY USIKU HUU


Waendeshaji wa hafla ya utoaji wa tuzo za Muziki Tanzania walikuwa ni Milard Ayoo na Vanessa Mdee.
Mshindi wa tuzo ya Wimbo Bora wa Zouk Rhumba,Ali Kibaa akikabidhiwa tuzo yake na Mwanadada Dina Marios wa Clouds Fm na Mkongwe Rainfred Masako wa ITV.
Mshindi wa tuzo ya Dancehall,Quen Darlin akiifurahia tuzo yake mara baada ya kukabidhiwa usiku huu.
Ali Kiba akitoa shukrani baada ya kupata tuzo.

Muwakilishi wa kundi la Arusha Gold akipokea tuzo ya Wimbo bora wa Ragga,kutoka kwa mwanadada Khadija Mwanamboka.
Burudani kutoka kwa vijawa T.H.T
Mkongwe katika Tasnia ya Muziki wa Taarab nchini,Bi. Shakira akiimba moja ya nyimbo zake alizowahi kuziimba kipindi cha nyuma.
Amin,Chaz Baba na Barnaba wakitumbuiza
Rachel akionyesha kizunguzungu chake.
Dayna akifanya vitu vyake.
Ali Kiba na Dada yake
Milard Ayoo na Vanessa Mdee.
Ommy Dimpoz,Diamond na Khaled Chokoraa wakitumbuza moja ya nyimbo za Msondo ngoma.
Babu Tale akitoa shukrani kwa niaba ya Suma Lee.


Roma Mkatoliki akiwashukuru mashabiki wake waliomfanya apate tuzo ya mwanahip hop bora.
Mzungu akiimba moja ya nyimbo za Lady Jay Dee.

Mzee Majuto na Sharobaro.
Ommy Dimpoz akipokea tuzo yake toka kwa Mzee Majuto na Sharobaro

Bi Shakira.
Bendi.
A.T a.k.a Mzee wa Kifuu Pembe akishukuru mashabiki wake.

Isha Mashauzi baada ya kupata tuzo yake sasa  ni shukrani.
Mzee Hamza Kalala na Da' Shamim Mwasha wakikabidhi tuzo ya Wimbo bora wa Bendi kwa kiongozi wa bendi ya Twanga pepeta,Luiza Mbutu.

Khadija Kopa.
Roma Mkatoliki akiwa na wakongwe.
Kitokololo ndie rapa bora wa bendi.



8 comments:

Anonymous said...

asante kaka michuzi kwakutuletea vitu upto date kaka michuzi umetisha uko juu kaa mawingu big up brother keep it kazi nzuri sana Mungu akubariki uzidi kutuabarisha napenda sana blog yako bila kukutembelea sioni raha kabisa hakika wewe ni nambari one ktk mabloggas GOD BLESS MAN

Esha said...

Asante Ankal kwa kutufikisha kwenye Kili Music Awards japo hatukuwa na cash pamoja sana..

Anonymous said...

Asante kaka michuzi kwa hizi picha! Ila i cant help but ask, WHAT THE HELL IS DIAMOND WEARING ? kama nikuiga huku mbele basi kachemka vibaya sana. Mimi nipo US na sioni mtu kuvaa kama hivo! its just a thought by the way, nothing personal!

Anonymous said...

Mkuu hii blog ukiwa nje ya nchi ndo kituo chetu cha habari,Kila la kheri kaka na Mungu akuzidishie maarifa zaidi

Anonymous said...

I can see how people have immediatelly forgot as if they are not the ones who were crying some few days back!!!?...Oooohp I learn "the died are not counted"

Anonymous said...

Aisee huyo anaemshangaa Diamond kuvaa hivyo ni wa ajabu mno eti kwa kuwa yuko US kwani US ndiyo nini? Atambue kuwa Diamond ni msanii ile nguo kai-designk kisanii alitaka avae suti au skirt? Mshamba sana wewe unayejidai unaishi US.

Pole na ushamba wako.

Anonymous said...

Maisha lazima yaendelee mdau! Hilo lazima ukubali.

Anonymous said...

Huyo ni Bi. Shakila na wala si Shakira mdau.